6 Novemba
tarehe
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Novemba ni siku ya 310 ya mwaka (ya 311 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 55.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1952 - Michael Cunningham, mwandishi kutoka Marekani
- 1954 - Stephen Watson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1957 - Cam Clarke, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
WaliofarikiEdit
- 1003 - Papa Yohane XVII
- 1231 - Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani (1198-1210)
- 1406 - Papa Innocent VII
- 1893 - Pyotr Ilyich Tchaikovsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1932 - Émile Friant, mchoraji kutoka Ufaransa
- 2012 - Aloysius Balina, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 2012 - Clive Dunn, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi wa Toniza, Paulo I wa Konstantinopoli, Melani wa Rennes, Leonardi wa Limoges, Kaliniko na wenzake, Severo wa Barcelona, Winoko, Nuno Alvares n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |