Tullio Moneta

Mwigizaji wa Kiitaliano na alisaidia kuongoza jaribio la mapinduzi huko Ushelisheli


Tullio Moneta (Fiume, leo Rijeka, nchini Korasya, Mei 9, 1937) ni mamluki na mwigizaji wa Italia.

Tullio Moneta
Alizaliwa 9 Mei 1937
Kazi yake Mwigizaji

Aliigiza kwenye filamu kumi na tano kati ya mwaka 1970 na mwaka 1990. Ni nyota kakika filamu The Lion's Share. Pia alikuwa pamoja na Mike Hoare, ambaye ni mshauri wa kijeshi katika filamu The Wild Geese ya mwaka 1978.[1]

Marejeo hariri

  1. Menichini, Giulio (12 July 2020). "Tullio Moneta: il mercenario-attore che ispirò “I quattro dell’Oca Selvaggia”" [Tullio Moneta: the mercenary-actor who inspired "The Four of the Wild Goose"]. Conoscere La Storia (kwa Italian). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 15 August 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tullio Moneta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.