Tume ya Marekebisho ya Sekta za Umma

Tume ya Rais ya Kurekebisha Sekta ya Umma ni chombo cha serikali ya Tanzania chini ya Sheria ya Mashirika ya Umma, 1992 kama ilivyorekebishwa mnamo mwaka 1993 na 1999, kuratibu utekelezaji wa juhudi za serikali za mageuzi ya uchumi kwa njia ya ubinafsishaji.

Viungo vya Nje

hariri