Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania
Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (Kiingereza: Tanzania Commission for Science and Technology kifupi COSTECH) ni shirika la umma ambalo linashirikiana na serikali ya Tanzania. Ilianzishwa kwa agizo la Bunge la Tanzania mnamo mwaka wa 1986 ikiwa kama mpokezi wa Baraza la Sayansi na Utafiti Tanzania. Tume hii ni tawi la taasisi na Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia. Ofisi zake kuu zipo mjini Dar es Salaam.
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya Nje
hariri- Tanzania Commission for Science and Technology Ilihifadhiwa 20 Mei 2021 kwenye Wayback Machine.
- Ministry of Higher Education, Science and Technology Ilihifadhiwa 29 Juni 2018 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |