Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi
(Elekezwa kutoka Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, Tanzania)
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Tanzania (kwa Kiingereza: Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training) kifupi ni wizara ya serikali inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu, elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini Tanzania pamoja na mafunzo ya ufundi.
Marejeo
hariri- ↑ "Ministry, Contact us". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-21. Iliwekwa mnamo 2018-06-12.
Tazama pia
haririViungo vya Nje
hariri- Ministry of Higher Education, Science and Technology Archived 13 Juni 2006 at the Wayback Machine.
- Tanzania Commission for Science and Technology - COSTECH Archived 20 Mei 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |