Turgut Özal

Mwanasiasa wa Uturuki

Turgut Özal (13 Oktoba 1927 - 17 Aprili 1993) alikuwa mwanasiasa wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa Rais wa 8 wa Uturuki kutoka mwaka 1989 hadi 1993. Hapo awali aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa 26 wa Uturuki kutoka mwaka 1983 hadi 1989

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Turgut Özal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.