Twic State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Twic State
Mahali paTwic State
Mahali paTwic State
Mahali pa Twic katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Turalei au Mayen Abun
Idadi ya kaunti 6
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Bona Panek
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 543,410

Imegawanyika katika kaunti 6: Akoc County, Panyoc County, Wunrok County, Ajak County, Turalei County na Aweng County[1][2].

Tanbihi

hariri
  1. "Twic governor appoints deputy, creates six counties", Radio Tamazuj, 14 February 2016. Retrieved on 12 August 2016. Archived from the original on 2016-08-19. 
  2. "Twic County Abolished As The Governor Creates 6 More Counties", Gurtong Trust, 11 February 2016. Retrieved on 3 November 2016. Archived from the original on 2018-11-16. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Twic (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.