Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1836

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1836 ulikuwa wa 13 katika historia ya Marekani. Ukafanywa tarehe 3 Novemba hadi 7 Desemba. Upande wa "Democratic Party", Kaimu Rais Martin Van Buren (pamoja na kaimu wake Richard M. Johnson) aliwashinda wagombea wa "Whig Party" William H. Harrison (pamoja na kaimu wake Francis Granger), Hugh L. White (pamoja na kaimu wake John Tyler), Daniel Webster (pamoja na Francis Granger tena) na Willie Person Mangum (pamoja na John Tyler tena).

Matokeo

hariri

Van Buren akapata kura 170, na wagombea wa "Whig" 124. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.