William Henry Harrison
(Elekezwa kutoka William H. Harrison)
William Henry Harrison (9 Februari 1773 – 4 Aprili 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja tu wa mwaka wa 1841 hadi kifo chake. Alikuwa rais wa kwanza kufariki madarakani. Kaimu Rais wake alikuwa John Tyler aliyemfuata kama Rais. Mjukuu wake aliyeitwa Benjamin Harrison alikuwa Rais wa 23.
William Henry Harrison | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1841 – Aprili 4, 1841 | |
Makamu wa Rais | John Tyler |
mtangulizi | Martin Van Buren |
aliyemfuata | John Tyler |
tarehe ya kuzaliwa | Charles City County, Virginia | Februari 9, 1773
tarehe ya kufa | 4 Aprili 1841 (umri 68) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | William Henry Harrison Tomb State Memorial |
chama | Democratic-Republican (Kabla ya 1828) Whig (1836–1841) |
ndoa | Anna Symmes (m. 1795) |
watoto | 10 |
mhitimu wa | Hampden–Sydney College University of Pennsylvania |
signature |
Tazamia pia
hariri}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Henry Harrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |