Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1980

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1980 ulikuwa wa 49 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 4 Novemba. Upande wa "Republican Party", mgombea Ronald Reagan (pamoja na kaimu wake George H. Bush) aliwashinda mgombea wa "Democratic Party" Rais Jimmy Carter (pamoja na kaimu wake Walter Mondale), na mgombea wa "Independent Party" John B. Anderson.

Matokeo hariri

Reagan akapata kura 489, na Carter 49. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.