Uda wa Japani
Uda (10 Juni, 867 – 3 Septemba, 931) alikuwa mfalme mkuu wa 59 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sadami, na alikuwa mwana wa tatu wa Tenno Koko. Mwaka wa 887 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 897. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Daigo.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uda wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |