Ufagio (kutoka kitenzi "kufagia") ni kifaa kinachotumika katika usafi wa sehemu mbalimbali.

Mtu akitengeneza fagio.
Aina za mifagio inayopatikana japani.

Kazi za ufagio ni kwamba hutumika kusafisha eneo, vitu n.k.

Katika utamaduni wa Afrika Mashariki chelewa ni njiti nyembamba ambazo ndizo zinazotumika mara nyingi utengezea ufagio. Pia vinaweza kutumika nyasi au makumbi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufagio kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.