Ugochi Emenayo

Mwanasoka wa Nigeria

Ugochi Emenayo (alizaliwa 20 Desemba 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria. Ugochi anacheza katika klabu ya Nasarawa Amazons na timu ya taifa ya Nigeria.[1]

Ugochi Emenayo
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa soka

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ugochi Emenayo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.