Uhaishaji
Uhaishaji (kwa Kiingereza "animation") ni njia ya kutengeneza filamu kutokana na picha nyingi ambazo huwekwa pamoja, kisha huchezwa kwa kasi ili kutoa udanganyifu wa miondoko.
Uhaishaji ni aina mpya ya sanaa, na ingawa dhana ya kutembeza picha imekuwa mandhari katika ustaarabu wa kale, haikuwa mpaka mwishoni mwa karne ya 19 kwamba ukaragushi wa majaribio ulianza kweli.
Leo, sekta ya uaishaji inaongezeka, na hufanya biashara kubwa. Hata hivyo, kati ya wasanii binafsi, bado ni aina ya pekee ya sanaa.
Viungo vya nje
hariri- Uhaishaji katika Open Directory Project
- The making of an 8-minute cartoon short
- "Animando", Filamu fupi inaonyesha mbinu 10 za kuunda ukaragushi
- Mitindo na mbinu 19 za ukaragushi
- Bibliografia ya ukaragushi
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uhaishaji kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |