Mhunzi

(Elekezwa kutoka Uhunzi)

Mhunzi ni mtu anayechonga vitu vya metali.

Mhunzi kazini
Mhunzi (Tanzania)

Kwa kawaida ashughulika vifaa vya chuma au feleji. Metali hupashwa mto hadi kung'aa nyekundu na kupewa umbo linalotakiwa.

Vyombo vyake ni nyundo, koleo na fuawe.

Siku hizi shughuli nyingi za mhunzi hutekelezwa kwa mashine lakini bado kuna shughuli zinazohitaji ufundi na ujuzi wa mhunzi.

Katika historia wahunzi walihitajiwa sana katika jamii kwa sababu vifaa kama silaha au majembe yalitegemea kazi ya wahunzi.

Marejeo ya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mhunzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.