Ujima ni mfumo wa mwanzo wa kiuchumi na kiutawala hapo zamani binadamu walipotumia silaha za mawe na moto wa kupekecha.

Pia ujima ulikuwa na mgawanyo wa kazi mzuri, kwa mfano vijana na wanaume walifanya kazi, kumbe wazee na watoto hawakufanya kazi.

Kwa jumla watu walifanya kazi kwa kushirikiana bila ubaguzi wala matabaka. Katika ujima waliweza kuishi kwa kupendana kuliko katika mifumo ya baadaye.

Pia kuna mifumo mingine ambayo ilikuja ukawa mzuri zaidi kama ubugabire: huo mfumo ulikuwa bora kwa sababu mtu alikuwa akiwekeza ng`ombe zikimaliza mwaka anapokwenda kuchukua lazima amuachie baadhi ya mifu.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ujima kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.