Ukurasishaji

Katika utarakilishi na katika uchapaji ukurasishaji (kwa Kiingereza: Pagination) ni mfumo wa mgawanyiko wa kurasa.

Mtumiaji anayesoma kitabu pepe.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).