Ulezi (wingi malezi) ni punje ya mlezi au mwele (aina ya nafaka) ambao hulimwa katika sehemu zenye hali ya ukame.

Malezi kama chakulaEdit

Unga wake hutumika kutengenezea ugali, uji na kadhalika, hasa kwa wagonjwa.