Unguja Kaskazini 'B'

Wilaya ya Unguja Kaskazini B ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Unguja Kaskazini yenye postikodi namba 73200.

Mahali pa Kaskazini 'B' (kijani) katika mkoa wa Unguja Kaskazini.


Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 99,921 [1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 52,605 [2], walioongezeka kuwa 81,675 wakati wa sensa ya 2012.[3]

Majimbo ya bunge hariri

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2020 wilaya hii ilikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

  • Bumbwini
  • Donge
  • Mahonda

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania  

Donge Karange | Donge Mbiji | Donge Mtambile | Donge Pwani | Donge Vijibweni | Fujoni | Kidanzini | Kilombero | Kinduni | Kiombamvua | Kiongwe Kidogo | Kisongoni | Kitope | Kiwengwa | Kwagube | Mafufuni | Mahonda | Majenzi | Makoba | Mangapwani | Matetema | Mbaleni | Mgambo | Misufini | Mkadini | Mkataleni | Mnyimbi | Njia ya Mtoni | Pangeni | Upenja | Zingwezingwe


  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Unguja Kaskazini 'B' kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.