Unguja Kaskazini 'B'
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B')
Wilaya ya Kaskazini B ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Unguja Kaskazini yenye postikodi namba 73200[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 52,605 [2], walioongezeka kuwa 81,675 wakati wa sensa ya 2012.[3]

Majimbo ya bunge Edit
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2020 wilaya hii ilikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
- Bumbwini
- Donge
- Mahonda
Marejeo Edit
Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Unguja Kaskazini 'B' kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania | ||
---|---|---|
Donge Karange | Donge Kipange | Donge Mbiji | Donge Mchangani | Donge Mnyimbi | Donge Mtambile | Donge Vijibweni | Fujoni | Kilombero (Unguja) | Kinduni | Kiomba Mvua | Kitope | Kiwengwa | Mahonda | Makoba | Manga Pwani | Mgambo (Unguja) | Misufini (Unguja) | Mkadini | Muwanda | Pangeni | Upenja | Zingwe Zingwe |