Unguja Ukuu Kaepwani
Unguja Ukuu Kaepwani ni kata ya Wilaya ya Kati katika Mkoa wa Unguja Kusini, Tanzania.
Kata ya Unguja Ukuu Kaepwani | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Unguja Kusini |
Wilaya | Unguja Kati |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,330 |
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 2,330 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,185 waishio humo. [2]
Ndani ya kata hiyo kuna eneo la kiakiolojia la Unguja Ukuu lililokuwa kati ya vijiji au miji ya kwanza katika Afrika ya Mashariki inayoonyesha ushahidi wa biashara ya kimataifa na sehemu nyingine za Dunia mnamo mwaka 800 BK.[3]
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk. 242
- ↑ "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-18.
- ↑ Mark Horton na Felix Chami: Swahili origins, uk. 141 katika "The Swahili World", Routledge 2018, ISBN: 978-1-138-91346-2 "The rapid growth of Unguja Ukuu can be mapped through massive quantities of imported pottery, which on other sites ranged from 2–4 per cent, here exceeded 10 per cent (Horton in press). Around the mid-eighth century, small but significant quantities of Chinese wares began to arrive, along with beads from Sri Lanka and large quantities of glazed and unglazed wares from the Persian Gulf. "
Kata za Wilaya ya Kati, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania | ||
---|---|---|
Bambi | Binguni | Bungi | Charawe | Cheju | Chwaka | Dunga Bweni | Dunga Kiembeni | Ghana | Jendele | Jumbi | Kiboje Mkwajuni | Kiboje Mwembeshauri | Kidimni | Kijibwemtu | Kikungwi | Koani | Machui | Marumbi | Mchangani Shamba | Mgeni Haji | Mitakawani | Miwani | Mpapa | Ndijani Mseweni | Ndijani Mwembepunda | Ng’ambwa | Pagali | Pete | Pongwe | Tindini | Tunduni | Tunguu | Ubago | Ukongoroni | Umbuji | Unguja Ukuu Kaebona | Unguja Ukuu Kaepwani | Uroa | Uzi | Uzini | Zawiyani |
Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Unguja Ukuu Kaepwani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |