Unicode
Unicode ni kiwango cha teknolojia ya habari inayotumika ili kurahisisha ubadilishano wa habari miongoni mwa watumiaji wa tarakilishi.

Nembo ya Unicode.
MarejeoEdit
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).