Unyanyasaji wa watoto mtandaoni

Unyanyasaji wa watoto mtandaoni ni aina mpya ya unyanyasaji wa watoto ambao pia hujulikana hivyo kwa sababu ya asili yake, hata kutoka kwa watu wa mbali na wasiojulikana[1].

Unyanyasaji huo unatumia intaneti au simu za mkononi.[1] Ingawa hautokei ana kwa ana, wala hauhitaji kukutana kimwili, unyanyasaji mtandaoni unaweza kusababisha hata athari mbaya za ana kwa ana kwa njia ya ubakaji, unyanyasaji wa kingono n.k. [2]

Nchini Marekani, unyanyasaji wa watoto mtandaoni unatambuliwa kama aina ya unyanyasaji wa watoto na Jumuiya ya Kitaifa ya Kuzuia Ukatili kwa Watoto.[3] Ripoti ya Data & Society Research Institute na ya Center for Innovative Public Health Research imeonyesha kwamba 72% za watumiaji wa intaneti wameshuhudia aina mojawapo ya unyanyasaji, na 47% wamepatwa wenyewe.[4]

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 Online abuse (en). National Society for the Prevention of Cruelty to Children.
  2. (February–March 2008) Online "Predators" and Their Victims, Vol 63, American Psychological Association, 111–128. Retrieved on 2 March 2018. 
  3. Child abuse and neglect (en).
  4. New report shows the reach of online harassment, digital abuse, and cyberstalking. Iliwekwa mnamo 28 February 2018.

Marejeo hariri

  • Janis Wolak, David Finkelhor, Kimberly J. Mitchell, Michele L. Ybarra (February–March 2008). Online "Predators" and Their Victims (PDF) (Vol 63 ed.). American Psychological Association. pp. 111–128. Retrieved 2 March 2018.
  • Child abuse and neglect". NSPCC.
  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Unyanyasaji wa watoto mtandaoni kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.