Ural
ukarasa wa maana wa Wikimedia
(Elekezwa kutoka Ural Mountains)
Ural ni jina la kijiografia nchini Urusi.
Inaweza kumaanisha
- Milima ya Ural ambayo ni safu ndefu ya milima nchini Urusi inayotenganisha Asia na Ulaya
- Mto Ural unaotoka kwenye milima na kuishia kwenye Bahari ya Kaspi
- Ural (kanda) ni kitengo cha kiutawala ndani ya Shirikisho la Urusi