Urfan Abbasov

Mchezo wa mpira wa miguu wa Azerbaijan

Urfan Abbasov (alizaliwa 14 Oktoba, 1992) ni mchezaji wa soka wa Kiazabajani ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa timu ya Gabala F.K katika Ligi Kuu ya Azabajani, na timu ya taifa ya Azerbaijan.

Kazi hariri

Mnamo tarehe 4 Juni 2019, Abbasov aliondoka Gabala FK kwa ridhaa ya pande zote mbili, baada ya kuichezea klabu hiyo michezo 220, [1] akisaini mkataba na timu ya Sabail FK . [2].Mnamo 9 Juni 2021, Abbasov alirudi Gabala, akisaini mkataba wa mwaka mmoja. [3]

Kimataifa Tarehe 10 Novemba 2015 Abbasov aliitwa kwenye timu ya taifa ya Azerbaijan kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Moldova, [4] ambapo alicheza kwa mara ya kwanza kama mchezaji ziada akiingia uwanjani dakika ya 69 akiingia kwaniaba ya Pavlo Pashayev . [5], Abbasov alifunga bao lake la kwanza kwa Azerbaijan mnamo 29 Mei 2018, kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Kyrgyzstan.[6]

Marejeo hariri

  1. "Qəbələ Urfan Abbasovla yollarını ayırdı". gabalafc.az/ (kwa Kiazerbaijani). Gabala FK. 4 June 2019. Iliwekwa mnamo 4 June 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "@abbasov_34 ➡️#SBLFC ✔️". facebook.com (kwa Kiazerbaijani). Sabail FK Facebook. 4 June 2019. Iliwekwa mnamo 4 June 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Urfan Abbasov «Qəbələ»də". gabalafc.az/ (kwa Azerbaijani). Gabala FK. 9 June 2021. Iliwekwa mnamo 11 June 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Урфан Аббасов приглашен в сборную Азербайджана". 1news.az/ (kwa Kirusi). 1news.az. 10 November 2015. Iliwekwa mnamo 18 November 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Азербайджан завершает год победой над Молдовой". azerisport.com/ (kwa Kirusi). Azerisport. 17 November 2015. Iliwekwa mnamo 18 November 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. "Ürfan Abbasov Azərbaycan millisində ilk qolunu vurdu". gabalafc.az (kwa Kiazerbaijani). Gabala FK. 29 May 2018. Iliwekwa mnamo 29 May 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Urfan Abbasov kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.