Usambazaji

Usambazaji (kutoka kitenzi "kusambaa") ni kitendo cha kusambaza huduma au vitu katika sehemu mbalimbali. Usambazaji unaweza kutumia mikono, vyombo vya habari, vyombo vya moto (magari, pikipiki n.k.), mtandao n.k.

Njia kuu za Usambazaji wa habariEdit

Kuna njia kuu mbili za usambazaji wa habari:

1. Mazungumzo.

2. Maandishi.