Usher ni jina la albamu ya kwanza ya mwimbaji wa R&B-pop wa Kimarekani - Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 30 Agosti 1994 na studio ya LaFace Records na Arista Records.
Albamu ilipata kushika nafasi ya kwanza kwenye cha za Billboard 200 Bora. Usher pia ameshiriki kuandika mimbo minne ya albamu hii. Licha ya kupata mafanikio makubwa ya single zake, ni moja kati ya albamu zake zilizouza nakala ndogo iliyochini ya 50,000 kwa ujumla.
Orodha ya nyimboEdit
- "I'll Make It Right"
- "Interlude 1"
- "Can U Get Wit It"
- "Think of You"
- "Crazy"
- "Slow Love"
- "The Many Ways"
- "I'll Show You Love"
- "Interlude 2 (Can't Stop)"
- "Love Was Here"
- "Whispers"
- "You Took My Heart"
- "Smile Again" (wimbo wa ziada)
- "Final Goodbye" (wimbo wa ziada)
Viungo vya NjeEdit