Usimbaji
Katika utarakilishi na mawasiliano, usimbaji (kutoka nomino ya Kibantu msimbo; kwa Kiingereza: encoding) ni mfumo wa kanuni zinazotumika ili kugeuza taarifa kuwa namna nyingine.

Msimbo wa Morse.
MarejeoEdit
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)