Usultani ni nchi au eneo chini ya mamlaka ya Sultani. Katika mazingira ya Kiislamu jina limelingana mara nyingi na "Ufalme" ingawa limetumiwa pia na watawala wa ngazi za chini.

Sultan Qabus Bin Said Al Said