Utamadunisho
Utamadunisho (kwa Kiingereza "enculturation") ni mchakato wa mtu kupokea utamaduni wa wale wanaomzunguka[1] ili kuingia zaidi katika maisha ya jamii husika.
Katika Ukristo
haririKatika Ukristo msamiati huo unamaanisha hasa mchakato wa ujumbe wa Injili kuingia kwa dhati zaidi katika maisha ya watu wa utamaduni fulani ili Kanisa lizidi kutia mizizi katika kabila au taifa husika badala ya kubaki kasumba.
Mchakato huo hauwezi kufanyika mara moja, bali unadai uwazi wa waumini kwa Neno la Mungu na kwa Roho Mtakatifu pamoja na jitihada za makusudi na za pamoja.
Tanbihi
hariri- ↑ Grusec, Joan E.; Hastings, Paul D. "Handbook of Socialization: Theory and Research", 2007, Guilford Press; ISBN 1-59385-332-7, ISBN 978-1-59385-332-7; p 547.
Marejeo
hariri- Grace, Lindsay. "Handbook of Research on Computational Arts and Creative Informatics: The Challenge of Enculturation in the Arts, 2009, IGI Global Press; ISBN 978-1-60566-352-4; 312-324.
- School & Society:Learning Content through Culture. Henry T. Trueba (editor), Concha Delgado-Gaitan (editor). Praeger Publishers. New York. 1988. p. 167
Viungo vya nje
hariri- Enculturation and Acculturation
- Community empowerment Ilihifadhiwa 29 Aprili 2017 kwenye Wayback Machine.
- Concepts of moral character, historical and contemporary (Stanford Encyclopedia of Philosophy)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |