Utambi ni kipande cha kitambaa au uzi kinachotumika kuwashia taa au kulipulia baruti.

Utambi wa mshumaa.

Utambi hutumika katika kibatari, mshumaa, chemni (kandili) n.k.