Uuaji wa Antonio Martin

Antonio Martin alipigwa risasi mnamo Desemba 23, 2014, huko Berkeley, Missouri, kitongoji cha St.Louis.

Antonio Martin, mvulana mweusi mwenye umri wa miaka 18, aliuawa kwa kupigwa risasi na afisa wa kizungu wa Berkeley[1]. Ufyatuaji risasi huo ulisababisha maandamano katika eneo la St.Louis[2].

Marejeo

hariri
  1. "Killing of Antonio Martin", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-07-12, iliwekwa mnamo 2022-07-30
  2. "Shooting of Michael Brown", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-07-20, iliwekwa mnamo 2022-07-30