Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid

Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania.[1]

Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka) mchezo wa kwanza wa Futboli ya Kimarekani nchini Tanzania ulionyeshwa katika uwanja huu, ni uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 20,000.

Uwanja huu ulipewa jina hili ili kumuenzi Meya wa kwanza muafrika Kaluta Amri Abeid.

Marejeo

hariri
  1. "Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium". Virtual Globetrotting. 2009-10-05. Iliwekwa mnamo 2010-09-13.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.