Uwanja wa Michezo wa Al Janoub
Uwanja wa michezo wa Al Janoub (kwa Kiarabu استاد الجنوب) ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo katika mji wa Al-Wakrah nchini Qatar na ulizinduliwa rasmi 16 Mei 2019. Ni moja kati ya viwanja vitakavyo tumika katika michuano ya kombe la dunia la FIFA 2022[1] .
Muundo wa uwanja uliundwa na msanifu majengo kutoka nchini Iraq Zaha Hadid pamoja na kampuni ya AECOM. Uwanja wa Al Janoub unauwezo wa kubeba watu 40,000 na kwasasa ni uwanja rasmi wa klabu ya Mpira wa miguu ya Al-Wakrah SC.[2].
Marejeo
hariri- ↑ "Al Janoub Stadium". zaha-hadid.com. Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Amir inaugurates Al Janoub Stadium". thepeninsulaqatar.com. 17 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Al Janoub kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |