Uwanja wa Michezo wa Al Thumama
Uwanja wa Soka huko Qatar.
Uwanja wa michezo wa Al Thumama (kwa Kiarabu: Malʿab ath-Thumāma) ni uwanja wa mpira wa miguu huko Al Thumama nchini Qatar. Ni moja kati ya uwanja utakaotumika wakati wa Kombe la Dunia la FIFA la 2022 nchini Qatar.[1]
Historia
haririUzinduzi wa uwanja ulifanyika tarehe 22 Oktoba 2021, wakati wa fainali ya Kombe la Emir . [2]
Mnamo Mei 2018, Uwanja wa Al-Thumama ulitunukiwa Tuzo ya MPIM/Architectural Review Future Project Award kwenye kipengele cha Michezo na Viwanja nchini Ufaransa.[3][4]
Uwanja huo ulichezewa michezo sita wakati wa mashindano ya kombe la FIFA la Kiarabu 2021 ikiwa ni pamoja na nusu fainali kati ya nchi ya Qatar na Algeria.
Marejeo
hariri- ↑ "Six facts about Al Thumama Stadium". qatar2022.qa. 20 Agosti 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-22. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Al Thumama Stadium - When will the sixth Qatar 2022 World Cup venue be inaugurated?". goal.com. 21 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Al Thumama Stadium honoured for innovative design". gulf-times.com. 20 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 14 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Qatar's Al Thumama Stadium wins prestigious international architectural accolade". ausleisure.com.au. 9 Juni 2018. Iliwekwa mnamo 16 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Al Thumama kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |