Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Eldoret
0°24′16″N 35°14′20″E / 0.40444°N 35.23889°E
Eldoret Airport Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Eldoret | |||
---|---|---|---|
IATA: EDL – ICAO: HKEL | |||
Muhtasari | |||
Aina | Public | ||
Opareta | Kenya Airports Authority | ||
Serves | Eldoret, Kenya | ||
Mwinuko Juu ya UB |
6,838 ft / 2,116 m | ||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
ft | m | ||
11,400 | 3,500 | Paved |
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Eldoret (IATA: EDL, ICAO: HKEL) ni kiwanja cha ndege cha Eldoret, mji katika Kenya Magharibi.
Kampuni ya ndege na mwisho wa safari
hariri- Domestic
- JetLink Express (Nairobi)
- Cargo
- EgyptAir Cargo (Cairo, Manston, Nairobi)
- Emirates SkyCargo (Dubai)