Uwanja wa michezo wa Zimbru ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo Chișinău, Moldova, ulokamilika mwezi Mei 2006 ukiwa na uwezo wa kuchukua jumla ya mashabiki 10,400. Ujenzi wa uwanja ulichukua takribani miezi 27 hadi kukamilika na kugharimu kiasi dola za kimarekani Milioni 11.

Uwanja wa Zimbru

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Zimbru kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.