Kishineu

(Elekezwa kutoka Chișinău)

Kishineu (kwa Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kisirili Кишинэу, kwa Kirusi Кишинёв "Kishinyev") ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Moldova wenye wakazi 600,000.

Kishineu mjini: tao na kanisa.

Jiografia

hariri

Mji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando ya mto Bich (Bîc) ambao ni tawimto la Dnestr. Eneo la mji ni km² 120. Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.

Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za maigizo. Mji una viwanda vingi.

Wakazi

hariri

Kati ya wakazi kuna vikundi vikubwa vifuatayo kufuatana na lugha:

Viungo vya nje

hariri

Ramani

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kishineu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.