Uwanja wa michezo Kigali

Arena, Kigali nchini Rwanda

Uwanja wa michezo Kigali Arena ni uwanja uliopo katika jiji la Kigali nchini Rwanda unatumika sana kwa ajili ya michezo ya mpira wa kikapu. Uwanja huu ulikamilika kujengwa mnamo mwaka 2019 na unapatikana karibu na uwanja wa Amahoro Stadium.[1]

Ujenzi

hariri

Ujenzi wa uwanja huu ulianza mwezi Januari mnamo mwaka 2019 kwa ushirikiano kati ya serikali ya Rwanda na Uturuki na kusimamiwa na mamlaka ya makazi na nyumba ya nchini Rwanda.[2] watu 1000 hadi 2000 waliajiriwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja huu, ujenzi uliokuwa ukifanyika usiku na mchana na hadi kufika mwezi Juni uwanja huu ulikuwa umekamilika kwa asilimia sabini na mwezi Julai ujenzi wake ulikamilika .[3]

Mnamo tarehe 9 Agosti 2019, uwanja ulichezwa mechi ya kwanza kati ya Patriots BBC na REG BBC,na raisi wa Rwanda Paul Kagame alihudhuria katola mechi hiyo.[4][5]

mnamo Mwaka 2021 mashindano ya kimataifa ya bara la Afrika yalifanyika katika uwanja huu. Kigali Arena ni uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000 na michezo mbalimbali kama tenisi pamoja na matamasha mengine na mikutano hufanyika katika uwanja huu.[2]

Mashindano

hariri

Mashindano makubwa kufanyika katika uwanja huu yalifanyika mnamo mwaka 2019 yalikuwa yakijulikana kama 2019 FIBA Under-16 Women's African Championship.[3] It na mengine ni ya AfroBasket 2021.[6]

Katika uwanja huu ,palifanyika pia fainali ya mashindano ya kitaifa ya mchezo wa kikapu mnamo mwaka 2019 [7]

Marejeo

hariri
  1. "10k-cap. Kigali Arena ready to open in Rwanda". 2 Agosti 2019. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 "Construction of modern multi-sport arena kicks-off", Rwanda Housing Authority, 17 January 2019. Retrieved on 24 June 2019. Archived from the original on 2020-02-25. 
  3. 3.0 3.1 "State-of-the-art Kigali Arena nears completion", New Times. Retrieved on 24 June 2019. 
  4. Kagire, Edmund (September 25, 2019). "Now President Kagame Wishes Kigali Arena Had 20,000 Capacity". KTpress.com. Retrieved May 23, 2021.
  5. KIGALI ARENA Official Inauguration | Kigali, 9 August 2019.
  6. "Rwanda Wins Afrobasket 2021 Bid, Beating 3 Others", All Africa, 24 June 2019. Retrieved on 24 June 2019. 
  7. Komugisha, Usher (September 28, 2019). "Kigali Arena breathes new life into Rwandan basketball". The New Times. Retrieved May 23, 2021.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Kigali kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.