Uwanja wa michezo wa AJ Swanepoel

Uwanja wa AJ Swanepoel ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi ya kimichezo huko Ermelo, Mpumalanga.[1] Ni uwanja wa nyumbani kwa Mologadi FC na Sekhukhune Lions zinazo shiriki ligi ya Vodacom nchini Afrika ya Kusini.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa AJ Swanepoel kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://int.soccerway.com/venues/south-africa/ermelo-stadium/