Uwanja wa michezo wa Ahmadou Ahidjo

Uwanja wa michezo nchini Cameroon


Uwanja wa Ahmadou Ahidjo ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Yaoundé nchini Kameruni unaotumika kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu pamoja na mchezo wa riadha.Uwanja huu ulijengwa mwaka 1972 na kufanya ukarabati mwaka 2016 ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 40,000 .[1] Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Canon Yaoundé na Tonnerre Yaoundé pamoja na timu ya taifa ya Kameruni, mwaka 1980 rekodi zinaonyesha kuwa uwanja huu ulihudhuriwa na jumla ya mashabiki 120,000 [2]

Uwanja wa Michezo Ahmadou Ahidjo

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ahmadou Ahidjo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.