Uwanja wa michezo wa Chamazi

Jengo nchini Tanzania

Uwanja wa michezo wa Chamazi (unajulikana pia kama Azam Complex Stadium) ni uwanja wa michezo uliopo eneo la Mbagala, mkoa wa Dar es Salaam, nchini Tanzania.

Unatumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Azam F.C.. Una uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000.

Uwanja huu unatambulika kama uwanja ambao mechi za kimataifa zinaweza kuchezwa.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Chamazi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.