Uwanja wa michezo wa EPRU
Uwanja wa michezo wa EPRU pia unafahamika kwa jina lake halisi la uwanja wa Boet Erasmus[1] ulikuwa uwanja michezo katika bandari ya Elizabeth, ghuba ya mashariki nchini Afrika Kusini. Herufi EPRU lina maana ya umoja wa raga katika jimbo la mashariki. Hapo awali, uwanja ulipewa jina la Boet Erasmus kumuenzi aliyekuwa meya wa bandari ya Elizabeth.[2] Uwanja huo ulikuwa na uwezo wa kubeba washabiki takribani 33,852 na ulitumika kimsingi kwa mchezo wa raga pia baadhi ya michezo ya soka ilichezwa katika uwanja huu.
Raga
haririTarehe | Timu #1 | Matokeo | Timu #2 | Hatua ya mzunguko | Mahudhurio |
---|---|---|---|---|---|
1960-04-30 | Timu ya taifa ya raga ya Afrika Kusini | 18-10 | Scotland | Utalii wa umoja wa raga wa Scotland Afrika Kusini mwaka 1960, Mechi ya majaribio | 24,000 |
1960-08-27 | Afrika Kusini | 8-3 | New Zealand | Mechi ya majaribio | 53,000 |
1961-08-12 | Afrika Kusini | 23-11 | Australia | Mechi ya majaribio | 26,000 |
1962-06-30 | Eastern Province | 6-21 | British Lions | Mechi ya utalii | |
1963-09-07 | Afrika Kusini | 22-6 | Australia | Mechi ya majaribio | 48,600 |
1968-05-29 | Eastern Province | 14-23 | British Lions | Mechi ya majaribio | |
1968-06-22 | Afrika Kusini | 6-6 | British Lions | Mechi ya majaribio | 70,000 |
1970-08-29 | Afrika Kusini | 14-3 | New Zealand | Mechi ya majaribio | 55,000 |
1974-05-25 | Afrika Kusini | 9-26 | British Lions | Mechi ya majaribio | 55,000 |
1974-06-13 | Eastern Province | 14-28 | British Lions | Mechi ya utalii | |
1980-05-10 | Eastern Province | 16-28 | British Lions | Mechi ya utalii | |
1980-06-28 | Afrika Kusini | 12-10 | British Lions | Mechi ya majaribio | 45,000 |
1984-06-02 | Afrika Kusini | 33-15 | England | Mechi ya majaribio | 46,000 |
1994-10-08 | Afrika Kusini | 42-22 | Argentina | Mechi ya majaribio | 28,000 |
1995-06-03 | Afrika Kusini | 20-0 | Canada | Mechi ya majaribio | 31,000 |
1997-05-24 | Eastern Province XV | 11-39 | British Lions | Mechi ya majaribio | |
1999-06-12 | Afrika Kusini | 74-3 | Italia | Mechi ya majaribio | 35,000 |
2001-06-30 | Afrika Kusini | 60-14 | Italia | Mechi ya majaribio | 35,000 |
2003-06-28 | Afrika Kusini | 26-25 | Argentina | Mechi ya majaribio | 25,000 |
2005-06-25 | Afrika Kusini | 27-13 | Ufaransa | Mechi ya majaribio | 35,000 |
2006-06-17 | Afrika Kusini | 29-15 | Scotland | Mechi ya majaribio | 25,844 |
Soka
haririTarehe | Timu #1 | Matokeo | Timu #2 | Mzunguko | Mahudhurio |
---|---|---|---|---|---|
2000-07-29 | Afrika Kusini | 0–1 | Zimbabwe | Nusu fainali COSAFA | |
2003-06-14 | Afrika Kusini | 2–1 | Trinidad and Tobago | Mechi ya kirafiki | 28,000 |
2006-11-12 | Afrika Kusini | 2–3 | Senegal | Mashindano ya Nelson Mandela | |
2008-06-01 | Afrika Kusini | 0–1 | Nigeria | kufuzu kwa Kombe la Dunia ya mwaka 2010] | 30,000 |
Marejeo
hariri- ↑ https://www.bbc.com/swahili/michezo/soka/2010/04/100426_worldcup_stadia
- ↑ Lambley, Garrin (11 July 2013). "So sad. Boet Erasmus in Ruin".
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa EPRU kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |