Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Cairo

Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Cairo (Kiarabu ستاد القاهرة الدولي), zamani ukijulikana kama Uwanja wa Nasser, ni uwanja wa Olimpiki wa kiwango cha Olimpiki, unaotumika zaidi, una uwezo wa kukaa watu 75,000.[1]

Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Cairo


Muhtasari hariri

Uwanja upo karibu kilomita 10 magharibi mwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cairo na karibu 10 km [2]dakika 30 kutoka jiji la Cairo.

Mnamo mwaka 2005, ulitumika kuandaa na Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2006 ulifanyiwa ukarabati mkubwa, na uliletwa hadi kiwango cha ulimwengu cha karne ya 21 pamoja na vifaa vyake vyote vya michezo ya Olimpiki.

Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 hariri

Uwanja huo ulikuwa moja ya kumbi zilizotumika katika Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019.

Muunganisho wa usafiri hariri

Uwanja huo upo Nasr City; kitongoji cha kaskazini mashariki mwa Cairo na kinaweza kufikiwa kwa njia ya ardhi kupitia kituo cha barabara kuu cha Cairo kwenye Cairo Metro Line 3 | line 3, iliyoko mbele tu ya uwanja huo.

Gallery hariri

Muonekano wa Panorama wa mambo ya ndani ya uwanja
Uwanja wa cairo kabla ya mechi ya Al Ahly Vs Sundowns Mnamo mwaka2020 Ligi ya Mabingwa CAF

Ona pia hariri

  • Cairo Stadium Indoor Halls Complex


Viungo vya njee hariri


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Cairo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.