Uwanja wa michezo wa King Zwelithini

unapatikana uko Umlazi,mji mdogo wa Durban,nchini South Africa

Uwanja wa michezo wa King Zwelithini unapatikana uko Umlazikatika mji mdogo wa Durban,nchini South Africa. Kwa sasa hutumika zaidi kwa mechi za Shirikisho la Soka la mpira wa miguu na ulitumika kama uwanja wa mazoezi kwa timu zilizoshiriki kombe la Dunia mwaka 2010 baada ya kukarabatiwa na kufikia viwango ivyo vya FIFA. .[1] Kwasababu timu nyingi zilikua upande wa kaskazini mwa Durban, zikikiri kwamba Uwanja wa King Zwelithini ulikuwa mbali sana kwa mazoezi.[2]

Uwanja huo unaingiza watu kwanzia 5,000 mpaka 10,000.[3]

Uwanja huu ulipewa jina la mfalme wa Zulu Goodwill Zwelithini kaBhekuzulu.

Marejeo

hariri
  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-18. Iliwekwa mnamo 2010-03-29. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  2. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-29. Iliwekwa mnamo 2010-03-29. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  3. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-29. Iliwekwa mnamo 2010-03-29. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa King Zwelithini kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.