Uwanja wa michezo wa Petro Sport

Uwanja wa michezo wa Petrosport (Kiarabu استاد بتروسبورت) ni uwanja wenye matumizi mengi na wenye uwezo wa kukaa wotu 16,000 walioko Cairo Gavana, nchini Misri. Ulikamilishwa mnamo mwaka 2006. Ni nyumba ya Klabu ya ENPPI na vilabu vingine vya Petroli huko Misri. Zamalek SC pia hucheza michezo yao mingi ya nyumbani kwenye uwanja wa Petrosport.Ulitengenezwa na watu wengi, pamoja na wabuni: Jana mahmoud, Mohannad alaa, mustafa khleed, Doaa Saad, yousef khaled na wengi zaidi hiyo haijumuishi pamoja na wafanyikazi waliotengeneza uwanja nk.

Uwanja wa michezo wa Petro Sport

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Petro Sport kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.