Uwanja wa michezo wa Pietersburg

unatumika kwa shughuli mbalimbali na unapatikana uko Polokwane Pietersburg, nchini South Africa

Uwanja wa michezo wa Pietersburg unatumika kwa shughuli mbalimbali na unapatikana huko Polokwane Pietersburg, nchini Afrika Kusini. Uliwahi kuwa uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Ria Stars kabla ya timu iyo kusambaratika. Uwanja huu unachukua takribani watu 15,000, pia ulijengwa mwaka 1976. Uwanja wa michezo wa Peter Mokaba ulijengwa mashariki mwa uwanja huu na ulitumika kwa ajili ya kombe la Dunia mwaka 2010.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Pietersburg kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.