Uwanja wa michezo wa SJ Smith
Uwanja wa michezo wa SJ Smith ni uwanja wenye matumizi mengi katika wilaya ya Lamontville nje ya mji wa Durban katika jimbo la KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini. Mara nyingi hutumika kwa michezo ya soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu yaDurban Stars F.C na African Wanderers katika ligi ya Vodacom ya mwaka 2010–11.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa SJ Smith kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |