Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia
Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia ni uwanja wenye matumizi anuwai huko Benin City nchini Nigeria. Hapo awali ulijulikana kama Uwanja wa Ogbe, kwa sasa hutumiwa zaidi kwa mpira wa miguu na mechi pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Bendel Insurance FC na Edo Queens FC.Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 12,000. [1]
Uwanja huu umetajwa kwa jina la Gavana wa mbili wa zamaniwa Jimbo la Bendel Dk Samuel Ogbemudia. Mnamo Februari mwaka 2009, uwanja huo ulipigwa marufuku na Ligi ya Kitaifa kwa kuwa na uwanja sio salama upo chini ya kiwango[2]
Tangu mwenzake Adams Oshiomhole alipochukua madaraka kama gavana mnamo mwaka 2008, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika uwanja huo, kama uwanja mpya wa mpira wa miguu uliokubaliwa na FIFA na wengine wengi.
Michezo ya Juu ya Kimataifa
haririTarehe | Timu ya 1 | Timu ya 2 | Alama | Ushindani | Wanaofunga mabao | Mahudhurio |
---|---|---|---|---|---|---|
23 Agusti 1983 | Nigeria | Moroko | 0-0[3] | Kufuzu kwa ANC | NA | |
2 Juni 2001 | Nigeria | Kigezo:Country data MAD | 1-0 | Kufuzu kwa ANC | Akwuegbu 5' | 15,000 |
21 Juni 2003 | Nigeria | Angola | 2-2[4] | Kufuzu kwa ANC | K. Uche 56', Odemwingie 62' (pen); Figueiredo 9', Akwa 54' | 15,000 |
12 Novemba 2011 | Nigeria | Kigezo:Country data BOT | 0-0 | Friendly | NA |
Ona pia
hariri- List of stadiums in Nigeria
marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
- ↑ "National League Bans Samuel Ogbemudia Stadium". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-01. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
- ↑ "Eboigbe musn't die". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
- ↑ Nigeria's lucky escape
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |