Benedict Akwuegbu (alizaliwa 3 Novemba 1974) ni mshambuliaji wa kandanda wa Nigeria aliyestaafu. Benedict Alichezea timu ya taifa ya kandanda ya Nigeria akiwa mshiriki wa Kombe la Dunia la FIFA la 2002.

Ushiriki Katika Klabu

hariri

Akwuegbu alianza uchezaji wake akiwa na umri wa miaka 15 nchini Nigeria kabla ya kuhamia klabu ya Ufaransa RC Lens akiwa na umri wa miaka 17. [1]

Ushiriki Kimataifa

hariri

Akwuegbu alichaguliwa katika kikosi cha U-16 cha Fainali ya Kombe la Dunia mwaka wa 1989 kilichoandaliwa na Scotland. [2]

Heshima

hariri

Grazer AK

  • Bundesliga ya Soka ya Austria: 2003-04, mshindi wa pili 2002-03
  • Kombe la Austria: 2000, 2002
  • Supercup ya Austria': 2000, 2002

Kimataifa

Viungo Vya Nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Benedict Akwuegbu". National-Football-Teams.com. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Scotland 1989: Saudi Arabia steal the show". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Juni 2008. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benedict Akwuegbu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.